
SIMBA KUJA KIVIGINE TENA MASHINDANO YAJAYO
UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa utakuja kivingine ndani ya msimu mpya wa 2023/24 kwa kuleta wachezaji wenye sifa ya ushindani na kutafuta matokeo bila kukata tamaa. Katika anga la kimataifa wamegotea hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika na watani zao wa jadi Yanga wapo hatua ya fainali Kombe la Shirikisho Afrika. Kwenye ligi…