
SIMBA KUIVAA RAJA CASABLANCA LEO
MCHEZO wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi dhidi ya Raja Casablanca ni leo Machi 31 nchini Morocco. Mchezo huo unachezwa Morocco ikiwa ni Machi 31 lakini Tanzania itakuwa ni Aprili Mosi 2023. Ni mchezo wa mwisho hatua ya makundi kwa timu hizi mbili ambazo zote zimetinga hatua ya robo fainali. Simba inakumbuka mchezo…