
MCHAKAMCHAKA WA USHINDI UNAANZA SASA
MCHAKAMCHAKA wa maisha ya mpira unazidi kuendelea kasi huku ligi ikiwa mlangoni kuanza. Kwa mipango mipya tunaamini maandalizi ya kila timu yamefanyika kwa wakati. Licha ya kwamba ilikuwa ni muda mfupi kwa maandalizi ni muhimu kila timu kupambana kutimiza majukumu ambayo yanawahusu hilo ni muhimu kuzingatia. Tunaona kwamba Namungo imejumuisha wakongwe ndani ya kikosi chao…