
NAMUNGO 1-1 SIMBA
MAJIBU ya alichokuwa anafikiria kipa namba tatu wa Simba, Ally Salim anayo kwenye mikono yake. Ubao wa Uwanja wa Majaliwa unasoma Namungo 1-1 Simba ikiwa ni mchezo wa mzunguko wa pili. Shuti la kwanza kwa Simba kulenga lango dakika ya 27 lilizama mazima nyavuni huku mtupiaji akiwa ni Jean Baleke. Bao la Namungo ni mali…