
BAADA YA CHAMA KUNA SAPRAIZI, YANGA WANAITAKA ROBO FAINALI
SAPRAIZI nyingine inakuja ya Benchikha, balaa la mashine mpya ya Yanga acha kabisa ndani ya Championi Jumamosi
SAPRAIZI nyingine inakuja ya Benchikha, balaa la mashine mpya ya Yanga acha kabisa ndani ya Championi Jumamosi
Mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet msimu huu wa sikukuu wamejitokeza na Promosheni ya kibabe kabisa ambapo imewaangukia wachezaji wa michezo ya Sloti ambayo ipo ndani ya Kasino ya Mitandaoni. Promosheni hii kama ilivyoelezwa itakua inahusisha wateja wanaocheza Sloti ambayo ni sehemu ya michezo ya Kasino Mitandaoni, Huku mshindi akijishindia Samsug A32, mshindi…
WAKIWA kwenye maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara Desemba 23 Uwanja wa Azam Complex wababe kutoka Dar wamepigana mikwara. Ni KMC watawakaribisha Simba kwenye mchezo wa ligi unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kwa timu zote mbili. Abdihamid Moallin Kocha Mkuu wa KMC amesema kuwa wanatambua ugumu uliopo lakini wanapaswa kuamini kwamba watapata…
UONGOZI wa Kagera Sugar umeweka wazi kuwa umefikia makubaliano ya kusitisha mkataba na Mecky Maxime aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo. Maxime mchezo wake uliopita ilikuwa ni Desemba 21 ambapo alishuhudia ubao wa Uwanja wa Kaitaba ukisoma Kagera Sugar 0-4 Azam FC. Unakuwa ni mchezo wa tatu kupoteza baada ya kuanza kushuhudia Coastal Union 1-0…
HESABU ndefu za Yanga ndan kutwaa ubingwa ambao upo mikononi mwao waliotwaa msimu wa 2022/23. Chini ya Miguel Gamondi Yanga ilitoka kupata ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Mtibwa Sugar mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Kinara wa utupiaji wa mabao ni Aziz KI ndani ya Yanga na ligi kiujumla akiwa katupia mabao 9 kibindoni…
Ilikuwa ni asubuhi moja ya Jumatano kijana mmoja kutoka familia duni aliamka mapema sana kisha akaanza kujiandaa kwenda shule, kwakuwa alikuwa anaishi kwenye hali ya ufukara na umaskini hakukata tamaa bali aliongeza bidi na juhudi katika masomo yake na shughuli za kilimo kila baada akirudi shule na siku nyingine ilimlazimu kijana huyo kuacha kwenda shule…
MATAJIRI wa Dar, Azam FC wamezidi kupeta kwenye mechi za Ligi Kuu Bara kutokana na kuendeleza kasi ya ushindi kwenye mechi ambazo wanachea. Desemba 21 ikiwa ugenini iliibuka na ushindi dhidi ya wapinzani wao Kagera Sugar. Pointi tatu walizopata Azam FC dhidi ya Kagera Sugar zinawazidi kuwafanya wajikite nafasi ya kwanza katika msimamo wa Ligi…
IMEELEZWA kuwa mabosi wa Simba wanafikiria kuachana na kiungo wao Luis ambaye alijiunga na timu hiyo kwa mara nyingine akitokea Al Ahly ya Misri kutokana na kutokuwa chaguo la kwanza ndani ya timu hiyo. Kwa sasa ambacho kinatajwa ni majadiliano na benchi la ufundi pamoja na mchezaji mwenye kama atarejea kwenye ubora
Bado hamjasema…Huku Msuva kule Manu Bola, Benchikha afuata winga Nigeria ndani ya gazetii la Championi Ijumaa
UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa utafanya kazi kubwa kufanikisha malengo ya kutwaa ubingwa ambao upo mikononi mwao waliotwaa msimu wa 2022/23. Chini ya Miguel Gamondi Yanga ilitoka kupata ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Mtibwa Sugar mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Kinara wa utupiaji wa mabao ni Aziz KI ndani ya Yanga na ligi…
Ndoto ya kucheza nusu fainali ya ligi ya mabingwa Afrika ni ndoto ambayo klabu ya Simba wamekua wakiiota kila siku, Lakini ilionekana kuingia wasiwasi kutokana na mwanzo wao katika michuano hiyo msimu huu. Baada ya ushindi wa mabao mawili kwa bila walioupata katika uwanja wa Benjamin Mkapa siku ya Jumanne umeibua matumaini upya kwa klabu…
CHAMA cha Mapinduzi CCM kimelitaka Shirika la Umeme nchini TANESCO lijitafakari kwakuwa si kila sababu za TANESCO kuhusu kukatika kwa umeme nchini zina mashiko ila nyingine ni uzembe. – Hayo yameelezwa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda katika mkutano wake na waandishi wa habari…
Takribani miaka 25 imepita tangu Yanga aingie hatau ya makundi bila kushinda mchezo wowote kwenye kundi lake mara ya kwanza ilikuwa ni mwaka 1998 ambapo alikuwa na miamba kama ASEC Mimosas aliyemaliza na alama 13, Manning Rangers alama 10, Raja Casablanca alama 8, na Yanga aliyemaliza na alama 2. Katika kundi hilo Yanga alipokea kichapo…
WILLY Onana kiungo mshambuliaji wa Simba amesema ushirikiano mkubwa kutoka kwa wachezaji wenzake ndani ya kikosi ni sababu iliyowapa nguvu wakashinda. Kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Desemba 19 baada ya dakika 90 ubao ulisoma Simba 2-0 Wydad Casablanca na mabao yote yalifungwa na Onana. Onana alifunga mabao hayo akitumia…
UONGOZI wa Namungo FC umeeleza ukimya unaoendelea kwao ni mchakato wa kukimbizana na dirisha dogo la usajili ili waweze kufanya jambo litakaloendelea kuwapa mashabiki wao furaha zaidi. Timu hiyo kwa sasa inanolewa na aliyekuwa kocha wa viungo Shadrack Nsajigwa baada ya Denis Kitambi kupewa Thank You anatajwa kuibukia Geita Gold baada ya Hemed Morroco kubwaga…
WINGA wa FC Lupopo Manu anatajwa kuwa kwenye rada za Yanga ambapo yeye mwenyewe ameweka wazi kwamba yupo tayari kupata chngamoto mpya kwa ajili ya kuendeleza ubora wake kwa kuwa anavutiwa na timu hiyo.
MNAHESABU huko? Yanga yaichapa Medeama, Pacome afanya balaa zito, Aliyewaua Waarabu apewa rungu Simba ndani ya Spoti Xtra Alhamisi