
FT: YANGA 2-1 MASHUJAA, LIGI KUU BARA
YULEYULE shujaa kwenye mchezo uliopita dhidi ya Dodoma Jiji, Mudathir Yahya leo tena kafunga bao la ushindi dhidi ya Mashujaa. Dakika ya 85 zikiwa zimesalia dakika tano mpira kugota mwisho akafunga bao la ushindi na kuipa pointi tatu Yanga inayofikisha pointi 37 ikiwa namba moja kwenye msimamo. Kipindi cha pili Mashujaa wamepata bao la kuweka…