Saleh

KIJANA ASHINDA JACPOT YA BILIONI KUTOKA SPORTPESA

KAMPUNI ya Michezo na Burudani SportPesa imemtangaza mshindi wa Jackpot ya shilingi 265,780,681 TZS David Mwenge Nyantora (27). David ambaye ni mwajiriwa alibashiri kwa usahihi mechi 13 kati ya 13 kwenye mechi za Supa Jackpot ambayo inamgawanyiko wa Jackpot za mechi 17,16,15,14 na 13 iliyopata mshindi. Akimtangaza mshindi huyo wa awamu ya kumi Mwenyekiti wa…

Read More

KIPA WA KAZI AREJEA YANGA

KIPA wa kazi ndani ya Yanga Djigui Diarra amerejea ndani ya kikosi hicho baada ya kuwa kwenye majukumu mengine ya timu ya taifa. Tayari Diarra ambaye ni kipa namba moja wa Yanga yupo kambini na kikosi hicho baada ya kuwa kwenye majukumu ya timu ya Taifa lake la Mali iliyoshiriki michuano ya Kombe la Mataifa…

Read More

TABORA UNITED YAINGIA CHIMBO KUIWINDA AZAM FC

WAKALI kutoka Tabora, kikosi cha  cha  Tabora United  kimeanza maandalizi kwa ajili ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya NBC Soka Tanzania Bara ambapo mchezo wao ujao itakuwa dhidi ya Azam FC. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Februali 19 2024 katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Mjini Tabora. Kikosi hicho cha nyuki wa Tabora kimeanza…

Read More

Mchezo wa Kasino Wenye Jackpot Kubwa Upo Meridianbet

Hatimaye Meridianbet Kasino Mtandaoni imekuja na mchezo mwingine wa matunda ambao kiukweli kama ukianza kucheza huwezi kujutia muda wako, mchezo huu wa 20 Imperial Crown utakupatia bonasi kibao na faidia kubwa sana ya dau lako unalocheza. 20 mperial Crown Deluxe Sifa Zake 20 Imperial Crown Deluxe kasino mtandaoni wenye safu tano zilizopangwa katika mistari mitatu…

Read More

GEITA GOLD YAPOTEZA MBELE YA SIMBA

KWENYE mechi mbili mfululizo Uwanja wa CCM Kirumba, Simba inaambulia pointi dakika za lala salama katikà mchezo wa Ligi Kuu Bara. Walianza Februari 9 ubao ulisoma Simba 1-1 Azam FC, bao lilifungwa na Clatous Chama dakika ya 90 Simba wakakomba pointi moja. Februari 12 ubao umesoma Geita Gold 0-1 Simba bao likifungwa na Babacar Sarr…

Read More

MBEBA MIKOBA YA AZIZ KI NOMA SANA

MTAMBO wa mabao ndani ya Ligi Kuu Bara, Aziz KI hajawa kwenye kikosi hicho katika mechi tatu mfululizo ambazo ni dakika 270 huku majukumu yake ya mapigo huru yakiwa kwenye miguu ya Pacome Zouzoa ambaye alikuwa na balaa. Sababu kubwa ya Aziz  mwenye mabao 10 na pasi mbili za mabao kutokuwa kwenye mechi hizo alikuwa…

Read More

UKIWA NA MERIDIANBET UNAKOSAJE MPUNGA?

Mechi mbalimbali kupigwa huku timu hizo kugombea pointi tatu leo. Je wewe beti yako unaiweka wapi kwenye mechi hizo?. Ingia meridianbet sasa na uanze kusuka mkeka wako, Leo Simba, Chelsea, Juventus uwanjani. Sasa unakosaje pesa hapo?. Pale Italia, SERIE A leo hii vijana wa Allegri Juventus watazipiga dhidi ya Udinese Calcio katika dimba la Allianz…

Read More

SIMBA YAZITAKA POINTI TATU ZA GEITA GOLD

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa unazihitaji pointi tatu za Geita Goled kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara.Ipo wazi kwamba na mabosi wa Geita Gold nao wanazihitaji poiti tatu hivyo mchezo unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Ikumbukwe kwamba mchezo uliopita ikiwa nyumbani, ubao wa Uwanja wa CCM Kirumba ulisoma Simba 1-1 Azam FC huku wafungaji wakiwa…

Read More

IVORY COAST NA MAAJABU YAO AFCON

IVORY Coast ni mabingwa ushindi wapya wakionyesha maajabu yao kwa kupindua meza kibabe kwenye mchezo wa fainali uliokuwa ni wa kuvuja jasho na akili nyingi. Baada ya dakika 90 wenyeji Ivory Coast waliibuka kwa ushindi wa mabao 2-1 Nigeria katika fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON 2023. Ikumbukwe kwamba mabingwa watetezi walikuwa nj…

Read More