
MALI YAFANYA KWELI DIARAA AKIWA LANGONI
KOMBE la Mataifa Afrika, (AFCON) uhondo unazidi kuwa mkali kwa kuwa kila timu inaonyesha uwezo wake ndani ya dakika 90 kusaka ushindi. Miongoni mwa timu zilizoanza kwa ushindi ni Mali ambapo kipa aliyeanza langoni ni Djigui Diarra ambaye ni kipa namba moja wa Yanga. Katika mchezo uliochezwa Januari 16 baada ya dakika 90 ubao ulisoma…