
BINGWA WA MKEKA WA WIKENDI AMEPATIKANA MERIDIANBET
Hatimaye ile siku ikafika ya ndoto kutimia kwa kijana Mathew Ngomba kutoka mitaa ya Tabata Shule ambaye aliweza kujivutia mkwanja wa maana yaani Milioni Hamsini na saba na elfu tisini na tisa na mia tatu themanini na tatu pointi tano nne (57,099,383.54). Kijana huyu Mjasiriamali alitumia shilingi 30000 pekee kama dau lake kwenye mechi 13…