Mechi za kirafiki zile za kujiandaa na msimu ujao zinakaribia huku nafasi ya wewe kuondoka na mkwanja ikiwa inakungoja. Je nani anaweza kuondoka na ushindi siku hii ya leo?
Msimu kabla hujaanza timu ya Manchester United chini ya kocha mkuu Carrick wanaanza kujfua kwenye mechi za kirafiki ambapo leo hii wataumana vikali dhidi ya Wrexham inayocheza kule Ligi daraja la kwanza.
United itaingia uwanjani ikiwa na lengo la kuanza vizuri maandalizi chini ya kocha Michael Carrick. Mechi hii itampa nafasi ya kujaribu mifumo mipya, kuwapa dakika wachezaji wapya na chipukizi, pamoja na kujenga muunganiko wa kikosi kabla ya mechi ngumu zaidi za maandalizi.
Wrexham ni timu ambayo inaendelea kukua kwa kasi katika miaka ya karibuni na haitaingia uwanjani kwa lengo la kujilinda pekee. Chini ya Phil Parkinson, Wrexham imekuwa ikipewa sifa kwa nidhamu ya ulinzi, kujituma kwa kiwango cha juu na mashambulizi ya moja kwa moja.
United pia wameendelea kufanya usajili wa wachezaji bora kwani msimu ujao watakuwa wakishiriki michuano mikubwa ya Ulaya yaani UEFA, kwahiyo mechi kama hizi ni muhimu sana kwa wachezaji kujitathmini kuingia msimu ujao.
Wrexham, kwa upande mwingine, itategemea mipira ya kushtukiza na makosa ya United, hasa kipindi ambacho kutakuwa na mabadiliko mengi ya wachezaji. Je nafasi ya kupata ushindi unaiweka kwa nani?. Jisajili hapa.
Pesa ya maana ipo kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Huku mechi nyingine ni hii ya Basel dhidi ya Juventus inatarajiwa ya kuvutia kiaina yake na yenye ushindani mkubwa haswa huku huku kila timu ikitumia fursa hii kujiandaa kwa msimu mpya na kupima kiwango cha wachezaji wake.
Bibi Kizee mpaka sasa ipo chini ya kocha mkuu Igor Tudor ina kikosi chenye uzoefu na ubora mkubwa zaidi. Inatarajiwa kumiliki mpira kwa muda mrefu, kutumia viungo wake kutawala eneo la kati na kutengeneza nafasi kupitia pasi za haraka na mashambulizi yaliyopangwa.
Nao FC Basel ambayo ipo kule Uswizi ni timu ambayo inategemea kasi, nguvu na mashambulizi ya kushtukiza ili kujaribu kuisumbua Juventus. Ikiwa inacheza nyumbani, inaweza kupata nguvu kutoka kwa mashabiki wake na kujaribu kucheza kwa ujasiri, hasa katika kipindi cha kwanza kabla ya mabadiliko mengi kufanyika.
Ukiingia pale Meridianbet nafasi ya kupata ushindi wanapewa vijana wa Tudor kutokana na ubora wa kikosi ambacho wanacho huku mechi hii ikiwa na machaguo zaidi ya 1000. Ingia na ubeti sasa.