UWANJA wa Mkapa dakika 90 zimekamilika kwa timu zote kugawana pointi mojamoja kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara.
Ubao umesoma Yanga 0-0 Mbeya City na kufanya Mbeya City wachezaji wa timu hiyo kushangilia.
Yanga inafikisha pointi 36 kibindoni huku wakiwa hawajapoteza mchezo kwa msimu wa 2021/22.