Kule Ligi kuu ya Ufaransa yaani LIGUE 1 inamngoja kati ya Nice au Saint-Etienne ambaye mshindi atapatikana siku ya leo. Baada ya mechi ya kwanza kutoshana nguvu leo nani kuibuka mbabe?
Je unajua kuwa kila msimu wa soka huwa na mechi moja ambayo hubeba presha, hofu na matumaini ya klabu nzima. Ndivyo ilivyo kwa mchezo wa play-off kati ya OGC Nice na AS Saint-Étienne, ambapo mshindi atapata nafasi ya kucheza Ligue 1 msimu ujao. Baada ya mchezo wa kwanza kumalizika kwa sare ya 0-0, kila kitu sasa kitaamuliwa katika dakika 90 za mwisho.
Nice wanaingia uwanjani wakiwa na faida ya kucheza nyumbani, lakini hiyo pia inawaongezea presha kubwa ya kupata ushindi mbele ya mashabiki wao. Wanajua kosa moja linaweza kuharibu ndoto za msimu mzima. Kwa upande mwingine, Saint-Étienne wanakuja wakiwa na morali kubwa na hamu ya kurejesha heshima ya klabu yao yenye historia kubwa nchini Ufaransa.
Piga pesa leo kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Saint-Étienne nao wanaingia katika mchezo huu wakiwa na kiu kubwa ya kurejea kwenye hadhi yao ya zamani. Klabu hii ina historia kubwa ndani ya soka la Ufaransa, na mashabiki wake bado wanaamini kuwa nafasi yao halisi ni Ligue 1. Sare ya bila kufungana kwenye mchezo wa kwanza imewapa matumaini makubwa, hasa wakiamini kuwa wanaweza kufanya jambo maalum ugenini.
Kila kosa linaweza kuwa mwisho wa ndoto za msimu mzima. Mabeki hawataki kufanya makosa, washambuliaji wanabeba matumaini ya maelfu ya mashabiki, na makocha wanapaswa kufanya maamuzi sahihi ndani ya dakika chache.
Ikumbukwe kuwa wa mpira wa miguu ni dakika 90 hivyo lolote linaweza kutokea na yoyote yule anaweza akashinda. Mchezo wa mwanza uliisha bila kuwa na mbabe na huu wa pili kila timu itaingia kwaajili ya ushindi pekee. Je nani kucheza ligue 1?. Bashiri mechi hii sasa.