Fahamu Filamu 100 Bora Kuanzia Mwaka 2000 -2026, ‘Parasite’ Ya Korea Kusini Yaongoza

Tovuti maarufu ya mapitio ya filamu Rotten Tomatoes imetoa orodha ya filamu 100 bora za karne ya 21 (2000-2026) zilizopata sifa kubwa kutoka kwa wakosoaji wa filamu pamoja na watazamaji duniani. Filamu ya Korea Kusini “Parasite” ya mwaka 2019 iliongoza orodha hiyo baada ya kupata asilimia 99 kutoka kwa wakosoaji na asilimia 90 kutoka kwa…

Read More