MASHUJAA FC vs Simba SC NBC Premier League ni leo Mei 14, 2026, kikosi cha wenyeji kipo namna hii langoni ameanza Patrick Munthali.
Wengine ni Mpoki Mwakinyuke, Samweli Onditi, Abdulnassir Assa, Salum Kihimbwa, Mgandila Shabani, Baraka Mtuwi, Kabasele Yusuph, Ismail Mgunda, Mohamed Salum na Samson Madeleke.
Wachezaji wa akiba ni : Hassan Haji, Mapinduzi Balama, Hussen Juma, Mundhir Vuai, Crispin Ngush, Yusuph Dunia, Abdul Bakari, Seif Rashid, Erick Johola na Seleman Bwezi.
Huu ni mchezo wa mzunguko wa pili, Uwanja wa Lake Tanganyika, mwisho wa reli Kigoma saa 10:15. Mzunguko wa kwanza ubao ulisoma Simba SC 2-0 Mashujaa FC.
***
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu. Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.
Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.