Mechi za Yanga SC NBC Premier League zilizobaki

Mabingwa watetezi NBC Premier League, Yanga SC wamebakiwa na mechi 9 kukamilisha msimu wa 2025/26.

Hizi hapa mechi zijazo:-

Tarehe Mechi Uwanja
Mei 9, 2026 Yanga SC vs Coastal Union KMC Complex
Mei 13, 2026 Dodoma Jiji FC vs Yanga SC Jamhuri, Dodoma
Mei 22, 2026 Yanga SC vs Singida Black Stars KMC Complex
Mei 25, 2026 Yanga SC vs Namungo FC KMC Complex
Juni 13, 2026 Mashujaa FC vs Yanga SC Lake Tanganyika
Juni 17, 2026 Fountain Gate FC vs Yanga SC
Juni 24, 2026 Yanga SC vs Azam FC KMC Complex
Juni 27, 2026 Yanga SC vs TRA United KMC Complex
Juni 30, 2026 JKT Tanzania vs Yanga SC Meja Jeneral Isamuhyo

***

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu.  Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.

Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.