LEO Aprili 21, 2026 mabingwa watetezi wa taji la Muungano Cup Yanga SC watakuwa uwanjani kwenye mchezo wa ufunguzi kutetea taji hilo.
Yanga SC vs Maembe Makumbi, saa 1:15 usiku, Aprili 21, 2026
KVZ vs Azam FC, saa 1:15, usiku, Aprili 22, 2026
Mlandege FC vs Singida Black Stars, saa 10:15, jioni Aprili 23, 2026
Simba SC vs Muungano, saa 2:15 usiku, Aprili 23, 2026.
***
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu. Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.
Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.