Je unajua kuwa unatakiwa kuhakikisha kuwa hakuna fursa yoyote ambayo inakupita?. Kila unachokiona leo kinaweza kukufanya ukabadilisha maisha yako moja kwa moja. Nafasi ni hii leo ukiwa na Meridian.
Ikiwa ni Ijumaa tulivu kabisa ya kibabe, Dunia nzima itaenda kushuhudia mechi kali na za kibabe katika Dimba la Vitality kati ya AFC Bournemouth vs Manchester United moja ya timu ambazo zina mafanikio makubwa kabisa kwenye Ligi kuu ya Uingereza huku wakiwa na mataji 20 hadi sasa.
Si mashabiki wa Bournemouth au wa Manchester United ambaye atakuwa akisubiri mechi hiyo kwa hamu lkaini pia hata mashabiki wa timu zingine kuona jinsi ambavyo Mashetani Wekundu wakitafuta nafasi ya kucheza Michauno ya Ligi ya mabingwa Ulaya msimu ujao.
Scort Parker akiwa na vijana wake anapendelea kutumia mfumo wa 4-2-3-1 ambapo kwenye mechi zao 5 za mwisho wametumia mfumo huo, lakini mbaya zaidi mechi 4 za mwisho wametoa sare hivyo ushindi ni muhimu sana kwenye mechi hii ya leo.
Manchester United wao pia wanapenda kutumia mfumu huo huo wa 4-2-3-1, yaani kiufupi zinakutana timu ambazo zinapenda kutumia mfumo mmoja. Lakini kwa upande wa Mashetani Wekundu wapo kwenye ubora wao kwani mpaka sasa wameshinda mechi 4 mfululizo kwenye ligi na kusogea nafasi ya 3 kwenye msimamo wa ligi.
Leo hii unaweza kutengeneza pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Wote wana wachezaji ambao wana ubora na wa kuchungwa zaidi ambapo kwa upande wa United Bruno ameendelea kuthibitisha ubora wake, lakini pia Bryan Mbeumo, Sesko, Cunha na wengine ambao wamekuwa ni chachu ya kuipa United Ushindi.
Bournemouth wao yupo Evanilson ambaye amekuwa na kiwango bora kabisa, lakini pia yupo Tavernier, Rayan na wengine kama kina Adili ambao kwa pamoja wanafanya klabu hii kuwa tishio hasa ikikutana na timu kubwa wakiwa nyumbani.
Mechi hii inatarajiwa kuwa ya mvutano wa kiufundi na kimkakati. Bournemouth hawataogopa kushambulia bila woga,. United, kwa upande mwingine, wanahitaji kudumisha nidhamu na kutumia uwezo wao wa kushambulia mara moja kwa mstari mmoja, wakiamini kuwa ufahamu wa mashindano makubwa unaweza kuleta tofauti.
Nani kuondoka na pointi tatu siku ya leo?. Ingia kwenye akaunti yako na usuke jamvi kwenye mechi hii ndani ya Meridianbet kwani safari ya ushindi inaanzia hapa.
SERIE A kule Italia pia inatarajiwa kuwa ya kibabe sana kwani kuna mechi kadhaa lakini hebu tujikite kwenye mechi ya Cagliari dhidi ya Napoli chini ya Antonio Conte huku mashabiki wa Cagliari wakijipanga kwa hamu kuona timu yao ikikabiliana na Napoli, bingwa mtetezi wa Serie A.
Cagliari, walioko kwenye nafasi ya 15 kwenye msimamo wa Serie A, wanahitaji kila pointi inayowezekana ili kudumisha nafasi zao na kuepuka shinikizo la kushuka daraja.
Kikosi hiki cha Fabio Pisacane wanahitaji ushindi kwenye mechi hii kwani kwenye mechi 6 za mwisho wamepoteza michezo minne na kupata sare mara mbili pekee, kitu ambacho kimewafanya wazidi kubakia kwenye nafasi za chini.
Antonio Conte na vijana wake hadi sasa wao wapo nafasi ya 3 kwenye ligi wakiwa nyuma pointi 9 na kinara wa ligi Inter. Ushindi huu utaenda kuwahakikishia nafasi ya 2, huku uwezo huu wakiw anao kabisa kutokana na kikosi cha wachezaji wenye ubora wakiwemo.
Conte ana jeshi kubwa kabisa la kufanya wapate ushindi akiwemo McTominay, De Bruyne, Hojlund, Anguissa na wengine ambao kwa pamoja wanasaidiana natimu kuhakikisha hawashuki nafasi 4 za juu kwenye lgi.
Historia inaonyesha Napoli mara nyingi amekuwa mshindi wanapokutana, kwani hata mechi ya kwanza kwenye ligi walipokutana, Napoli waliondoka na ushindi. Hivyo hii ni nafasi ya wenyeji kulipa kisasi kwa kupata ushindi wakiwa nyumbani kwao. Je Conte atakubali?. Tusua kijanja na wakali wa ubashiri Meridianbet, kwani Odds kubwa zinakungoja sasa.
Je wenyeji leo hii wanaweza kukataa utumwa wao mbele ya bingwa mtetezi na kuibuka na pointi 3 siku ya leo?. Nafasi ya kushinda unayo leo.