Mtibwa Sugar vs Yanga SC ni Jumamosi mchezo wa NBC Premier League Uwanja wa Jamhuri, Dodoma kwa wababe hawa kusaka pointi tatu.
Tayari Yanga SC imewasili Dodoma kwa maandalizi ya mwisho ya mchezo huo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa ndani ya dakika 90.
Machi 18,2026 Yanga SC ilikuwa Arusha kwenye mchezo wa ligi vs TRA United ambapo waligawana pointi mojamoja.
Baada ya dakika 90 ubao ulisoma TRA United 0-0 Yanga SC na mchezaji bora wa mchezo alichaguliwa kuwa Ramahan Ramadhan.
Yanga SC inaongoza ligi ikiwa na pointi 37 baada ya mechi 15 inakutana na Mtibwa Sugar iliyo nafasi ya 9 ikiwa na pointi 21 baada ya mechi 16.
***
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu. Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.
Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.
Team Canada forward Jonathan David (#7) watches as his shot is saved by the Iceland goalkeeper during an international friendly match between Canada and Iceland at BMO Field in Toronto, Ontario, Canada, on March 28, 2026. (Photo by Indrawan Kumala/NurPhoto) (Photo by Indrawan Kumala / NurPhoto via AFP)