LEO Januari 29 Yanga itakuwa kwenye kazi ya kusaka ushindi mbele ya Mbao FC ambayo nayo pia inaska ushindi kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya 32 bora, Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.
Hiki hapa kikosi cha Yanga kinachotarajiwa kuanza mchezo unatarajiwa kuchezwa saa 10:00 jioni:-