Manchester City, Chelsea Kwenye Presha UEFA siku ya leo? Arsenal Kusaka Ushindi

Je unajua kuwa maokoto yapo mengi kwenye mechi za UEFA siku ya leo?. Kila timu inahitaji kufuzu kwenda Robo Fainali hivyo suka mkeka wako wa ushindi sasa.

Arsenal watakuwa nyumbani kusaka nafasi ya ushindi dhidi ya Bayer Leverkusen ya kule Ujerumani. Mtanange wa kwanza wametoa sare baada ya Havertz kusawazisha goli dakika za jioni za mchezo. Vinara hawa wa EPL wanahitaji ushindi pale Emirates ili kujiweka kwenye nafasi ya kufuzu hatua ya Robo Fainali. Je Arteta atasonga mbele kwenye michuano hii?. Tengeneza jamvi hapa.

Mechi nyingine ya kibabe ni hii ya Chelsea vs PSG ambao ndio mabingwa watetezi wa kombe hili. Mechi ya kwanza kule Ufaransa The Blues walipigika haswa huku wakiwa magoli 3 nyuma. Vijana hao wa Darajani wanataka kufanya comeback nyumbani. Je Chelsea wanaweza kupindua meza na kusonga hatua ya Robo Fainali leo?.  Jisajili hapa.

Ukiacha mechi za UEFA pia unaweza kutengeneza pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Pia Sporting Lisbon atakuwa nyumbani kukipiga dhidi ya Bodo/Glimt ambao walishinda mechi yao ya kwanza walipokutana. Mlima ni mrefu wa kushinda kwa wenyeji kwani mpaka sasa aggregate ni (3-0). Bodoe wamekuwa bora msimu huu huku wakitaka kushinda siku ya leo. Je Sporting atafanya nini nyumbani?. Suka jamvi hapa.

Kwa upande wa Real Madrid baada ya kupata ushindi mnono kule Bernabeu, leo hii atakuwa kibaruani dhidi ya Manchester City pale Etihad. Mpaka sasa Agrregate ni (3-0) hivyo City anahitaji kushinda mechi ya leo kwa magoli kuanzia 4 ili avuke hatua ya Robo Fainali kwenye michuano hii. Je Pep Guardiola na vijana wake wanaweza kufuzu siku ya leo?. Bashiri hapa.