Hiki hapa kikosi cha Yanga SC vs Tanzania Prisons

Tanzania Prisons vs Yanga SC ni leo Machi 12,2026 saa 2:00 usiku. Hiki hapa kikosi cha Yanga SC ambacho kinatarajiwa kuanza:-

Langoni

Djigui Diarra

Mabeki: Israel Mwenda, Zimbwe Jr, Nondo, Bacca. Viungo ni Damaro, Abuya, Maxi, Mudathir na Okello.

Mshambuliaji ni Prince Dube. Akiba: Masalanga, Abubakari, Assink, Andabwile, Yao, Abdulnasir, Shekhan, Edmund, Bupa, Depu.

***

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu.  Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.

Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.