Barcelona Yalenga Kufufua Makali Yake Barani Ulaya

Klabu ya FC Barcelona imeendelea kufanya vyema kwenye michuano yote msimu huu huku wakiwa na malengo ya kuchukua makombe yote msimu huu. Meridianbet wanakwambia kuwa bashiri mechi zote za Barca hapa.

Barcelona imekuwa katika safari yenye ushindani mkubwa msimu huu, ikishiriki mashindano yote makubwa kwa malengo ya kurejesha hadhi yake ya juu barani Ulaya. Ingawa jana timu ilipata matokeo yasiyotarajiwa na kupoteza mechi, hilo halifuti kazi kubwa ambayo imekuwa ikifanywa katika kipindi chote cha msimu.

Kwa mtazamo mpana, mwenendo wa Barcelona umeonyesha uthabiti, maendeleo ya kiufundi, na ari ya ushindani inayostahili pongezi.

Katika La Liga, Barcelona imekuwa miongoni mwa timu zinazowania nafasi za juu kwenye msimamo wa ligi ambapo mpaka sasa wapo nafasi ya 2 kwenye msimamo baada ya kupoteza mechi ya jana.

Licha ya ushindani mkali kutoka kwa wapinzani wao wa jadi, Barcelona imeendelea kubaki kwenye nafasi nzuri ya kupigania taji hadi hatua za mwisho.

Chukua maokoto leo hii kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette,Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Katika Ligi ya Mabingwa Ulaya yaani (UEFA), timu imeonyesha dhamira ya kurejea katika ubora wake wa kimataifa. Mechi kadhaa zimeonyesha ukomavu wa kikosi, hasa kwa wachezaji ambao wamepewa nafasi na sasa wapo kwenye hatua ya 16 bora.

Msimu huu, Barcelona imeendelea na mbio zake katika Copa del Rey, ikiwa na azma ya kutetea au kudai taji hilo. Ushindi muhimu umepatikana dhidi ya wapinzani wenye nguvu, na kuonyesha kuwa kikosi kimejizatiti kuonyesha ushindi kila mechi. Lakini ina kibarua kizito baada ya kupoteza mechi ya kwanza kwa mabao 4-0.

Hadi sasa, Barcelona ipo miongoni mwa timu zinazojivunia uwiano wa ushindi na nafasi za juu kwenye mashindano yote, ikiwa imejipanga vizuri kwa kufikia malengo ya msimu. Timu ina nafasi nzuri ya kushika taji la La Liga, kufika mbali kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya, na kudumisha hadhi yake kwenye mashindano ya taifa.

Chini ya kocha mkuu Hans Flick Barca wameendelea kuwa ni timu bora licha za  kupata majeruhi ya wachezaji akiwemo Pedri, Gavi, Raphina na wengine wengi.