Skip to content
Sunday, June 14, 2026
  • Brazil na Morocco Kukutana Katika Mchezo wa Kusisimua wa Kundi C
  • Marekani Yafungua Kombe la Dunia Nyumbani Kwa Kishindo, Yaichapa Paraguay 4-1
  • Meridianbet Yatoa TZS Milioni 100 Kwa Mashabiki wa Kombe la Dunia
  • Canada Yaanza Kombe la Dunia kwa Sare ya Kusisimua dhidi ya Bosnia

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Brazil na Morocco Kukutana Katika Mchezo wa Kusisimua wa Kundi C
  • Marekani Yafungua Kombe la Dunia Nyumbani Kwa Kishindo, Yaichapa Paraguay 4-1
  • Meridianbet Yatoa TZS Milioni 100 Kwa Mashabiki wa Kombe la Dunia
  • Canada Yaanza Kombe la Dunia kwa Sare ya Kusisimua dhidi ya Bosnia

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Home
  • 2026
  • February
  • 23

February 23, 2026

  • International
  • Sports

Barcelona Yalenga Kufufua Makali Yake Barani Ulaya

Saleh4 months ago02 mins

Klabu ya FC Barcelona imeendelea kufanya vyema kwenye michuano yote msimu huu huku wakiwa na malengo ya kuchukua makombe yote msimu huu. Meridianbet wanakwambia kuwa bashiri mechi zote za Barca hapa. Barcelona imekuwa katika safari yenye ushindani mkubwa msimu huu, ikishiriki mashindano yote makubwa kwa malengo ya kurejesha hadhi yake ya juu barani Ulaya. Ingawa…

Read More
  • Sports

Yanga na Simba Waendeleza Ubabe Ligi Kuu Waibuka na Ushindi

Saleh4 months ago01 mins

Vigogo wa soka Tanzania, Simba na Yanga usiku wa kuamkia leo Februari 23, 2026 wameendeleza ushindani mkali wa kuwania taji la Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuibuka na ushindi muhimu katika michezo yao ya jana. Katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, Simba walionyesha ubora wao kwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya…

Read More
  • International
  • Sports

Arsenal Yaichapa Tottenham Hotspur 4-1 Alama tano Dhidi ya Man City

Saleh4 months ago01 mins

Arsenal wameonyesha ubabe kwa kuichapa Tottenham Hotspur mabao 4-1 katika dabi kali ya London, ushindi unaowasogeza kileleni mwa Premier League. Kwa ushindi huo, Arsenal wamefikisha pointi 61 baada ya mechi 28, wakisogea kwa tofauti ya alama tano dhidi ya Manchester City ambao wana mchezo mmoja mkononi. ⚽ Magoli yalifungwa na: Kolo Muani (34’) Eze (32’,…

Read More
  • Sports

Shinda Kwa Kishindo Ukicheza Trick or Treat Bonanza

Saleh4 months ago4 months ago02 mins

Wapenzi wa kasino na michezo ya mtandaoni, ingawa msimu wa Halloween umepita lakini bado Meridianbet inaendelea kukupatia burudani isiyo na kifani kupitia Trick or Treat Bonanza, mchezo ambao unachanganya ladha ya Halloween na fursa za ushindi wa kweli. Karibu katika Haunted Candy Realm, ulimwengu wa ajabu uliojaa pipi za kuogofya, vishawishi vya kutisha, na zawadi…

Read More
Newsmatic - News WordPress Theme 2026. Powered By BlazeThemes.