Arsenal wameonyesha ubabe kwa kuichapa Tottenham Hotspur mabao 4-1 katika dabi kali ya London, ushindi unaowasogeza kileleni mwa Premier League.
Kwa ushindi huo, Arsenal wamefikisha pointi 61 baada ya mechi 28, wakisogea kwa tofauti ya alama tano dhidi ya Manchester City ambao wana mchezo mmoja mkononi.
⚽ Magoli yalifungwa na:
Kolo Muani (34’)
Eze (32’, 61’)
Gyökeres (47’, 90+4’)
Kwa upande wa msimamo wa juu (Top 4), Arsenal wanaongoza, wakifuatiwa na Man City, huku Aston Villa na Chelsea wakikamilisha nafasi nne za juu.