Je unajua kuwa siku ya leo unaweza ukaondoka na tabasamu ndani ya Meridianbet?. Mechi nyingi za ushindi zipo uwanjani leo hivyo suka jamvi lako na uanze safari ya ushindi hapa.
Tukianza na Iigi kuu ya Hispania, yaani LALIGA nayo kuna mechi za pesa ambapo Real Sociedad atakuwa nyumbani kusaka ushindi dhidi ya Real Oviedo ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 15. Mgeni yeye yupo nafasi ya mwisho kwenye msimamo wa ligi huku mwenyeji yeye akihitaji ushindi mnono kwenye mechi hii ya leo. Wewe unampa nani nafasi ya kushinda?. Bashiri hapa.
Mechi nyingine ni hii ya Real Madrid ambao wao watakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Osasuna ambao wapo nafasi ya 10, tofauti yao mpaka sasa kwenye ligi ni pointi 30. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda Real. Lakini wewe unaweza ukabashiri mechi hii kwa machaguo uyatakayo. Beti hapa.
Hapo baadae Atletico Madrid atamkaribisha Espanyol ambao kwenye msimamo wa ligi wapo nafasi ya 6 huku vijana wa Simeone wao wakiwa nafasi ya 4. Hii ni mechi muhimu sana kwao kwani wanahitaji ushindi haraka sana ili kujiweka kwenye nafasi 4 za juu. ODDS KUBWA zipo kwenye mtanange huu siku ya leo. Wewe unaweka wapi jamvi lako?
Saka maokoto leo hii kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette,Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Kule Italia, SERIE A nayo mechi za kibabe kupigwa, Juventus uso kwa uso dhidi ya Como 1907 ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 5 pekee huku vijana wa Fabregas wakiibuka na ushindi mechi ya mwisho kukutana. Je leo hii Bibi Kizee watafanya nini wakiwa nyumbani?. Bashiri hapa.
Nao vinara wa ligi Inter Milan watakuwa ugenini dhidi ya Lecce ambao wanashika nafasi ya 17 kwenye ligi. Vijana wa Christian Chivu wanahitaji ushindi mechi hii ili waendelee kusalia kileleni kwenye msimamo wa ligi. Kwa upande wa wemyeji chezo huu nao ni muhimu sana kwao ili waweze kujiokoa kwenye kushuka daraja. Suka jamvi hapa.
Cagliari naye atakuwa nyumbani kupepetana dhidi ya Lazio ambao wapo nafasi ya 9 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 13. Tofauti yao hadi sasa kwenye ligi ni pointi 5 pekee huku kila timu leo hii inataka ushindi mnono kabisa. Je nani kukupatia maokoto pale Meridianbet?. Beti sasa.
Uingereza EPL kawaida kuendelea siku ya leo Brentford atakipiga dhidi ya Brighton ambapo mara ya mwisho kukutana kati yao mwenyeji alipoteza, hivyo basi mechi hii ya leo mwenyeji anataka kulipa kisasi. Wakali wa ubashiri Meridianbet wanakwambia kuwa ODDS KUBWA zipo mechi hii. Bashiri hapa.
Chelsea atakuwa nyumbani kusaka ushindi dhidi ya Burnley ambao wapo nafasi ya 19 kwenye msimamo wa ligi yaani ya pili kutoka mwisho. Mara ya mwisho kukutana kati yao The Blues waliondoka na ushindi. Leo hii mechii hii inapewa machaguo zaidi ya 1000 pale Meridianbet. Jisajili sasa.
Vijana wa Pep Guardiola Manchester City watakuwa nyumbani kumenyana dhidi ya Newcastle United ambao mechi ya mwisho kukutana walipoteza. City wapo kwenye mbio za ubingwa huku mchezo huu ukiwa ni muhimu sana kwao kushinda leo. ODDS KUBWA zipo kwenye mechi hii leo. Suka jamvi hapa.
BUNDESLIGA kule Ujerumani napo itaendelea bingwa mtetezi wa ligi, Bayern Munich atakuwa nyumbani kukiwasha dhidi ya Eintracht Frankfurt ambao hawapewi nafasi kubwa ya kushinda mechi hii. Takwimu zinaonesha kuwa mechi ya mwisho kukutana vijana wa Kompany waliondoka na ushindi. Leo hii mgeni anaweza kulipa kisasi?. Jisajili hapa.
Bayer Leverkusen atakuwa ugenini kukipiga dhidi ya Union Berlin ambao wanashika nafasi ya 10 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 6. Kila timu inahitaji ushindi kwenye mechi hii. Je wewe beti yako unaiweka kwa nani siku ya leo akupe ushindi?. Tandika jamvi lako la uhakika na Meridianbet sasa.
Mechi nyingine kali nii hii ambayo itachezwa saa 2:30 usiku kati ya Rb Leipzig vs Borussia Dortmund ambapo tofauti yao ni pointi 11 hadi sasa. Mechi ya mwisho kwenye ligi walipokutana hakuna ambaye alikuwa mbabe kati yao. Meridianbet inakwambia Suka jamvi lako mechi hii.