Arsenal, Madrid, Napoli, Liverpool & Inter: Nani Anaondoka na Pointi? Soma Hapa

Wakali wa ubashiri Tanzania, Meridianbet wanakwambia kuwa Wikendi hii ipo kwaajili ya kuhakikisha hawakuachi patupu. ODDS KUBWA zipo kwenye mechi za leo hivyo bashiri sasa.

Pale LALIGA kuna mechi moja kati ya Athletic Club vs Real Madrid ambao wanataka ubingwa msimu huu kwa hali na mali. Mara ya mwisho kukutana hawa wawili, Alonso na vijana wake walipata ushindi mwembamba. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000, bashiri sasa.

Kule Italia, COPA ITALIA hatua ya 16 pia inaendelea ambapo Atalanta atakipiga dhidi ya Genoa ambapo kwenye ligi timu hizi mbili zimetofautiana pointi 3 pekee. Mara ya mwisho kukutana hawa wawili, mwenyeji aliondoka na ushindi kwenye mechi zote mbili. Je leo hii nani kuondoka na ushindi?. Tandika jamvi hapa.

Nao mabingwa wa Scudetto, Napoli watakuwa nyumbani kukipiga dhidi ya Cagliari ambao kwenye ligi wanashika nafasi ya 14 wakiwa na pointi 11 pekee. Nafasi ya kushinda mtanange huu pale Meridianbet anapewa Napples. Je wewe unampa nani ushindi?. Suka jamvi hapa.

Venezia watakuwa ugenini kumenyana vikali dhidi ya Inter Milan ambao wanashika nafasi ya 4 hadi sasa. Mgeni yeye anakipiga kule Italia Serie B na kwasasa yupo nafasi ya 5. Je nani kuondoka na pointi tatu siku ya leo na kusonga mbele?. Jisajili hapa.

Michezo ya Kasino ya mtandaoni imekuja kukupatia maokoto cheza Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Ligi pendwa kule Uingereza EPL itaendelea ambapo Arsenal watakichapa dhidi ya Brentford ambao wapo nafasi ya 13 kwenye msimamo wa ligi. Mara ya mwisho kukutana walitoka sare, huku vijana wa Arteta wakihitaji ushindi siku ya leo kujiweka sawa kwenye mbio za ubingwa wa ligi kuu ya Uingereza. Nani kuondoka na pointi 3 pale Emirates?. Bashiri hapa.

Aston Villa watakuwa ugenini kukipiga dhidi ya Brighton huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 2 pekee, ambapo mwenyeji yeye yupo nafasi ya 6 huku Villa yeye akiwa nafasi ya 4. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS KUBWA. Je beti yako unaiweka kwa nani siku ya leo?. Tandika jamvi hapa.

Nao Wolves ambao wana hali mbaya kwenye msimamo wa ligi wakiwa kama vibonde wa ligi watakuwa nyumbani kupepetana dhidi ya Nottingham Forest ambao wapo nafasi ya 16 kwenye msimamo wa ligi hadi sasa. Mbwa Mwitu anataka kulipa kisasi baada ya kupoteza mechi ya mwisho kuonana. Suka jamvi hapa.

Kwa upande wa Leeds United wao wataumana dhidi ya Chelsea ya Enzo Maresca ambao wapo kwenye mbio za ubingwa msimu huu. Mwenyeji anahitaji kushinda siku ya leo kujiweka vyema kwenye msimamo wa EPL. ODDS KUBWA zipo kwenye mechi hii. Ingia na ubeti sasa.

Arne Slot na vijana wake Liverpool watakuwa wenyeji wa Sunderland ambao ni moja ya timu ambazo zimepanda ligi kuu msimu huu lakini wamekuwa na kiwango cha kuridhisha kabisa huku wakizifunga timu kubwa na kuwalazimisha sare. Jogoo wa Anfield anahitaji ushindi huu kwa hali na mali. Je beti yako unaiweka kwa nani leo?. Jisajili hapa.

Copa del Rey pia itaendelea ambapo Villarreal atakuwa ugenini kusaka ushindi dhidi ya CA Antoniano ambao wanakipiga kule Segunda na wapo nafasi ya 9 kwenye msimamo wa ligi, huku Nyambizi wa Njano wao wakiwa nafasi ya 3 kwenye ligi kuu Hispania. Nani kuondoka na pointi tatu?. Tandika jamvi hapa.

Vilevile kwa upande wa Girona wao wataumana dhidi ya Ourense FC, huku wakali wa ubashiri Tanzania wao wakimpa nafasi ya ushindi mgeni. Je wewe bei yako unaiweka kwa nani kati ya hawa wawili?. Beti sasa.

Torrent CF atakipiga dhidi ya Real Betis ambayo ipo ligi kuu wakati mwenyeji yeye Segunda na huku kwenye msimamo wakiwa nafasi ya 17 na pointi zao 10. Kila timu inahitaji ushindi siku ya leo kusonga mbele hata inayofuata. Meridianbet wanakwambia hivi unaweza ukapiga mkwanja mrefu sasa. Jisajili hapa.