MERIDIANBET YACHANGIA MASHINE ZA SANITIZER MWENGE HOSPITALI

Katika dunia ya leo, ambapo afya na usafi ni nguzo muhimu ya maisha bora, kampuni ya michezo ya kubashiri Meridianbet imethibitisha tena dhamira yake ya kusimama bega kwa bega na jamii. Hii imejidhihirisha kupitia msaada wao wa mashine za kuwekea sabuni na sanitizer ulioelekezwa Hospitali ya Mwenge, Dar es Salaam.

Mashine hizi zitakuwa suluhisho muhimu katika kuhakikisha wagonjwa, wauguzi na wageni wote wanaofika hospitalini hapo wanapata huduma katika mazingira yenye usalama na usafi wa hali ya juu. Hatua hii ni mwendelezo wa mapambano dhidi ya maambukizi yanayoweza kuzuilika kupitia mikono isiyo safi.

Meridianbet inalenga kushirikiana na hospitali katika kupambana na changamoto za taka ngumu na kuongeza uelewa wa usafi wa mazingira kwa wagonjwa, wauguzi na wananchi kwa ujumla kwani kulinda afya ni kitu kizuri sana, lakini pia ni vyema kujilinda na magonjwa ya mlipuko.

Utajiri wako upo kwenye michezo ya Kasino siku ya leo ingia na ucheze Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli  na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.

Akizungumza wakati wa makabidhiano, Afisa Mahusiano wa Kampuni hiyo Nancy Ingram alisema kuwa, “Katika Meridianbet tunaamini kuwa kusaidia hospitali kwa vifaa vya muhimu kama hivi ni njia ya kuhakikisha usalama wa wagonjwa na wahudumu. Usafi ni kinga ya kwanza dhidi ya magonjwa, na tunajivunia kushirikiana na Hospitali ya Mwenge katika harakati hizi.”

Kwa upande wa uongozi wa Hospitali ya Mwenge umeishukuru Meridianbet kwa msaada huu muhimu, na kusisitiza kuwa mashine hizo zitasaidia kwa kiwango kikubwa katika kudumisha viwango vya juu vya usafi hospitalini.

Hii ni sehemu ya mwendelezo wa miradi ya CSR ya Meridianbet, ikidhihirisha dhamira yake ya kuinua jamii kupitia miradi yenye tija, huku ikiendeleza nafasi yake kama kiongozi katika sekta ya michezo ya kubashiri na mshirika wa kweli wa maendeleo ya jamii.

Pia Meridianbet itaendelea siku zote kuwaunga mkono watu wenye uhitaji katika jamii yetu kwani wao na jamii wanategemeana kwa kila kitu. Lakini pia Kampuni hiyo inawashihi watu kutunza mazingira kwa kutokutupa taka hovyo ili kujiepusha na magonjwa mbalimbali.

Leo hii mechi kibao zinaendelea ambapo ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yanapatikana Meridianbet pekee. Ingia na utengeneza jamvi lako la ushindi hapa.