CHEZA SUPER HELI USHINDE SAMSUNG A25 MPYA

Kampuni inayoaminika zaidi kwenye michezo ya kubashiri nchini Tanzania, Meridianbet, imeleta tena promosheni inayotikisa. Mwezi huu wa Juni, usikose kushiriki katika ofa kabambe iitwayo “Paa na Super Heli, Shinda Samsung A25”, promosheni maalum kwa wachezaji wa kasino mtandaoni, hasa mchezo wa Super Heli.

Kupitia promosheni hii, unapata nafasi ya kushinda simu mpya aina ya Samsung A25. Kila Jumatatu, washindi wawili wataondoka na zawadi hii murua. Ni zawadi kutoka Meridianbet kwa wateja wao wanaoendelea kuwa nao bega kwa bega.

NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# Au tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Namna ya Kushiriki:

Fungua akaunti au ingia kupitia Meridianbet.co.tz au app ya Meridianbet.

Hakikisha akaunti yako imesajiliwa kikamilifu.

Cheza Super Heli kati ya tarehe 01 hadi 30 Juni, 2025.

Kadri unavyocheza mara nyingi zaidi, ndivyo unavyojiweka karibu na ushindi wako.

Zawadi Zenyewe Hizi Hapa:

Kila Jumatatu, washindi 2 watazawadiwa Samsung A25 mpya kabisa.

Kwa mwezi huu wa Juni, jumla ya washindi 8 watapata simu hizi, moja kwa kila wiki.

Mambo Muhimu ya Kukumbuka:

Promosheni hii ni kwa wateja wote wa Meridianbet waliopo Tanzania pekee.

Meridianbet inaweza kufanya mabadiliko au kusitisha promosheni hii wakati wowote bila taarifa ya awali.

Sheria na masharti ya bonasi na matumizi ya Meridianbet yatazingatiwa kikamilifu.

Kwa mpenda michezo ya kasino na ubashiri mtandaoni, hii ni nafasi ya kipekee ya kushinda bila gharama.