PYRAMIDS FC MABINGWA WAPYA AFRIKA

Mamelodi Sundowns wamekuwa washindi wa pili mbele ya Pyramids FC ambao ni mabingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Pyramids FC ya Misri ni mabingwa wapya Afrika ikipata ushindi mbele ya Mamelod Sundowns ya Afrika Kusini kwenye fainali ya pili. Kwenye fainali nyota Fiston Mayele mshambuliaji wa zamani wa Yanga SC, Juni Mosi wakati wakishinda mabao…

Read More