BONASI KIBAO KUTOLEWA UKITUMIA AIRTEL PUSH

Anza mwaka na Funga mwaka na Airtel Push ndani ya Meridianbet kibabe ambapo wakali wa ubashiri Tanzania wamekuja na promosheni kali kabisa kwa wateja wao wa Airtel.

AIRTEL PUSH ni promosheni ambayo ilianza toka Januari 01, na itamalizika mwisho wa mwaka yaani mwezi Disemba 31 mwaka 2025 na Meridianbet wanakwambia hivi pesa yako ya kwanza ambayo utakuwa umeiweka inaweza kuwa na thamani ya 20% zaidi kufikia hadi shilingi 50000 kila siku.

Je unajua kuwa ukiwa na Airtel Push ni rahisi sana kuwa moja wa watu ambao watajipatia bonasi ya uhakika ambapo mteja atatakiwa kuweka pesa kwenye akaunti yake ya Meridianbet ambapo pesa hiyo itatakiwa ifanyiwe mzunguko mara mbili yaani (Rollover)

Je unajua Rollover ni nini?

Rollover ni  kiwango cha dau unachopaswa kubashiri kabla ya kutoa ushindi wa bonasi.

Tiketi zako za kubashiri michezo zinapaswa kumalizika siku hiyo hiyo ulipoweka amana yako ya kwanza. Yaani kwamba inabidi ubashiri mechi za siku moja ziishe leo hutakiwa kubashiri mechi za siku mbili au kuendelea.

  • Tikei zilizofanyiwa Cashout hazistahili kuhesabiwa kwenye kiasi cha Rollover. Kwahiyo ukibashiri tiketi yako subiri mechi ziishe ndipo tiketi yako itakuwa kwenye washindi.
  • Jumla za ODDS kwenye tiketi za michezo zinapaswa kuwa 3.00 au zaidi ili dau lako lihesabiwe kwa Rollover.

Hizo zilikuwa ni sheria za Rollover kwa upande wa michezo yaani endapo utataka kubashiri mechi, lakini kwa upande wa Kasino ni kama ifuatavyo,

  • Mchezaji anatakiwa rollover siku hiyohiyo alipoweka amana yake ya kwanza ya kila siku.
  • Ikumbukwe kuwa Rollover kwenye michezo ya Kasino itahesabiwa kwenye michezo ya Slot kutoka ofa ya kasino ya Meridianbet.

Bashiri na Airtel Push leo update zawadi kibao ikiwemo bonasi za michezo na kasino sasa. Vilevile  unaweza kupiga pesa kwenye michezo ya Kasino kama vile, Zombie Apocalypse, Aviator, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao. Ingia kwenye akaunti yako na ucheze sasa.

Bonasi ya michezo itatumika tu kwenye tiketi za kubashiri michezo zenye mechi 4, na kila mechi inapaswa kuwa na ODDS 1.5 au zaidi, huku malipo ya juu kabisa ya kila tiketi ya kubashiri michezo yatakuwa ni shilingi 100,000.

Mteja lazima akumbukwe kuwa atapata bonasi moja tu ya kubashiri michezo kwa amana ya kwanza ya kila siku iliyofanywa kupitia watoa huduma za malipo waliotajwa hapo juu ambao ni AIRTEL.

Pia Meridianbet inasisitiza kuwa wateja wanatakiwa kutumia bonasi zote za awali za kubashiri michezo ili waweze kupokea bonasi mpya ya kubashiri michezo. Jisajili sasa na Airtel ufurahie ofa hii kabambe hapa.

Halikadhalika ofa hii itatumika kwa mtoa huduma mmoja pekee, ikizingatiwa kuwa mchezaji ana watoa huduma wengi waliounganishwa na akaunit ID yake. Tiketi zinazopotea pekee ndizo zinazohesabiwa kwa mzunguko(rollover).