Alama tatu muhimu kwa Wekundu wa Msimbazi, Simba Sc wakifikisha pointi 28 na kuendelea kujichimbia zaidi kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu bara.
FT: Pamba Jiji Fc 0-1 Simba Sc
⚽ 22’ Ateba