WIKENDI IMERUDI, PESA NJE NJE KWA MECHI KIBAO

Wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet wanakwambia hivi siku ya leo unaweza kuondoka ukifurahia maokoto ya maana kwani ligi mbalimbali zimerejea. Tandika jamvi lako sasa.

Tengeneza jamvi lako na mechi za LIGUE 1 ambapo PSG atamkaribisha kwake Toulouse ambao wapo nafasi ya 10 wakiwa na pointi zao 15, huku mara ya mwisho kukutana Paris alipoteza. Ikumbukwe kuwa vijana wa Enrique ndio wanaoongoza ligi wakiwa na pointi zao 29. Je leo hii watalipa kisasi wakiwa Parc des Princes. Je pesa yako unampa nani leo?. Bashiri mechi hii yenye ODDS 1.35 kwa 8.00.

Naye AS Monaco atakiwasha dhidi ya Stade Brest 29 kule LIGUE 1 huku mechi iliyopita mwenyeji alishinda, wakati kwa upande wa mgeni yeye alipoteza mechi yake iliyopita. Mechi ya mwisho kukutana Monaco alishinda bila kuruhusu goli. Je leo hii nani kuibuka mbabe?. Jisajili hapa kwa ODDS 1.55 kwa 5.80.

Ijumaa ya kuondoka na maokoto ndio hii ya leo. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

LALIGA leo hii kuna mtanange mmoja kati ya Getafe dhidi ya Real Valladolid. Tofauti ya pointi kati yao ni moja pekee ambapo timu hizi bado zina hali mbaya kwenye msimamo wa ligi. Mwenyeji yupo nafasi ya 17 na mgeni yupo nafasi ya 19. Ni suluhu iliyopatikana mara ya mwisho walipokutana. 1.80 kwa 5.80. Beti hapa.

NBC Premier League leo kuendelea hii leo ambapo Simba baada ya kushinda mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa ugenini kumenyana dhidi ya Pamba Jiji FC. Meridianbet wamewapa nafasi kubwa ya kushinda vijana wa Fadlu kwa ODDS 1.25 kwa 11. Je wewe beti yako ya ushindi unampa nani leo hii?. Jisajili hapa.

Pia kule Ujerumani leo, mabingwa mara nyingi wa BUNDESLIGA Bayern Munich watakuwa nyumbani kukiwasha dhidi ya Augsburg ambao wapo nafasi ya 13 na pointi zao 12 huku mechi ya mwisho kukutana vijana wa Kompany waliibuka na ushindi. Je wataendeleza ubabe wao hapo Allianz Arena. Mechi hii ina ODDS 1.13 kwa 19. Bashiri hapa.

Ligi daraja la kwanza kule Uingereza, CHAMPIONSHIP nayo itaendelea hii leo kwa mchezo mmoja ambapo Plymouth atamenyana dhidi ya Watford. Mwenyeji yupo nafasi ya 18 na mgeni wake yupo nafasi ya 6. Mara ya mwisho kukutana kwenye ligi walitoa sare. Je leo hii nani kushinda?. 3.05 kwa 2.28 ndio ODDS za mechi hii. Tengeneza jamvi hapa.

Pia ligi kuu ya Saudia itaendelea leo hii ambapo Al Ahli atakuwa mgeni wa Al Feiha ambao wanashikilia nafasi ya 16 kwenye msimamo wa ligi, yaani nafasi ya 3 kutoka mwisho. Mechi hii imepewa ODDS 1.45 kwa 6.20. Ingia na ubashiri hapa.

Vilvile Al Nassr ya kina Ronaldo watakuwa nyumbani kuumana dhidi ya Al-Qadisiyah ambao wanapishana pointi 3 pekee hadi sasa. Vijana wa Pioli wanahitaji ushindi leo kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kuwania ubingwa. Je wageni wanaweza kuwazuia?. Mechi hii ina ODDS 1.55 kwa 5.20. Jisajili sasa.