CARABAO CUP, BUNDESLIGA NA SERIEA KUENDELEA WIKI HII

Ni utamaduni, mwezi Januari huwa na michezo mingi. 2022 ni muendelezo wa burudani kwenye ulimwengu wa soka. Nusu fainali ya Carabao, muendelezo wa Bundesliga na SerieA kuchezwa wiki hii. Pamba mkeka wako kwa Odds hizi;

 

Jumatano hii, Chelsea watarejea uwanjani kuwakabili Tottenham Hot Spurs. The Blues wanaingia uwanjani kuikabili Spurs ambapo hii ni London Derby. Safari hii, mpambano huu ni kuwania nafasi ya kucheza fainali ya Carabao Cup, 2021/22. Ni Thomas Tuchel au Antonio Conte atakayefanikiwa kusogea mbele? Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.01 kwa Chelsea.

 

Alhamisi, kwenye Serie A kutakuwa na mtanange wa kukata na shoka. AC Milan uso kwa uso dhidi ya AS Roma. Serie A itaendelea wiki hii ikiwa ni baada ya mapumziko mafupi ya sikukuu za Krisimasi na mwaka mpya. Milan na Roma zipo kwenye viwango tofauti msimu huu. Lakini, zinapokutana uwanjani, tegemea burudani halisi ya soka la Italia. Pioli vs Mourinho, nani ni nani? Ifuate Odds ya 1.96 kwa Milan ndani ya Meridianbet.

 

Mchezo wa pili wa nusu fainali ya Carabao Cup utaendelea alhamisi usiku. Arsenal kuwaalika Liverpool pale Emirate Stadium. Ni burudani tupu msimu huu, Arteta kuchuana na Klopp baada ya kupokea kichapo kutoka kwa Guardiola huku Klopp akishuhudia Tuchel akipindua meza kule Stamford Bridge. Ukiwa na Odds ya 2.18 kwa Arsenal kwenye mkeka wako wa Meridianbet, uhakika wa kupata faida ni mkubwa!

Ikaribishe wikiendi kwa mchezo wa Bundesliga kati ya Bayern Munich vs Borussia Monchengladbach. Soka la kijerumani katika ubora wake. Mbio za kuelekea kwenye ubingwa wa ligi msimu huu zinashika kasi. Vivyo hivyo, Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.23 kwa Bayern ambayo itapamba mkeka wako wa faida!

 

Meridianbet – Nyumba Yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!