MZEE Magoma ambaye amekuwa gumzo kutokana na sakata lake kuibuka hivi karibuni ameweka wazi kuwa ana nyumba tatu huku akimtaja Ofisa Habari wa YangaAli Kamwe na namna ya utendaji wake ndani ya timu hiyo ambayo imeweka kambi Afrika Kusini kwa maandalizi ya msimu wa 2024/25.
Related News
FIFA President Gianni Infantino addresses the 73rd FIFA Congress at the BK Arena in Kigali, Rwanda March 16, 2023. REUTERS/Jean Bizimana