SEMAJI AHMED ALLY ATAJA TAREHE RASMI YA SIMBA DAY MWAKA HUU/”HII SIO YA KUKOSA/WAHI TIKETI YAKO”

Jambo la Chama ni nyeti sana, wanasimba tunampenda sana Chama ila ikitokea ameondoka basi hakuna namna”____ Afisa Habari wa Simba @ahmedally_ akizungumza na Kitenge Tv kuhusu sakata la mchezaji Chama kuondoka Simba.