Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Zuhura Yunus kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu)
Kabla ya Uteuzi, Zuhura alikuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais – Ikulu
RAIS SAMIA AMTEUA ZUHURA YUNUS KUWA NAIBU KATIBU MKUU, OFISI YA WAZIRI MKUU
