Wakazi wa Chamazi Magengeni leo hii wamenufaika kwa kutembelewa na Kampuni kubwa ya ubashiri Meridianbet pamoja na KMC na kupewa msaada wa vyakula kwaajili ya kujikimu.
Kurejesha kwa jamii ndio kawaida ya Meridianbet na leo hii walifunga safari moja kwa moja hadi Chamazi Magengeni ambapo walifanikiwa kukutana na familia ambazo zina uhitaji na kutoa msaada wa vyakula.
Na safari hii ilikuwa ni zamu ya Lanso ambaye alichukua tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Aprili ndani za klabu hivyo alipendekeza kuwa inabidi wafike katika maeneo za Chamazi Magengeni kwani ndipo anaishi kwasasa, na kuna msemo unasema msaada inabidi uanzie nyumbani.
Vyakula ambavyo zimetolewa ni kama vile mchele, unga wa ngano, mafuta ya kupikia, sabuni na sukari ambavyo hivi vitawasaidia kwa namna moja au nyingine. Vyakula hivyo vimetolewa Chamazi maeneo ya Magengeni ambayo ni makazi ya Lanso kwa muda kwani yeye ni mkazi wa Zanzibar.
Ndugu mteja kumbuka na wewe unaweza kupiga mkwanja kwa kucheza michezo ya kasino ya matandaoni kama vile, Aviator, Poker, Roulette, Rocketman, Michezo ya Sloti na mingine kibao. Ingia Meridianbet na ucheze sasa.
Kutokana na yeye kuwa mgeni wa maeneo hayo Lanso aliona si vibaya kuamabatana na mchezaji mwezake ambaye ni mwenyeji Tepsie Evans pamoja na wakali wa ODDS KUBWA Tanzania Meridianbet pamoja na michezo ya kasino ya mtandaoni.
Baada ya kuulizwa kipi kilimsukuma Lanso kurejesha kwenye jamii alisema kuwa, “”Nimetoka kwenye mazingira magumu nyumbani Zanzibar baada ya kufika Dar kwa mara ya kwanza nilipokewa vizuri na nilijihisi nina deni kubwa la kulipa, niwashukuru Meridianbet kwa kuniwezesha kukamilisha hitaji langu la moyoni la kusaidia jamii, napenda kutoa misaada na leo nimefika hapa Chamazi kukabidhi hiki kidogo, nilichojaliwa” Abdalla Lanso
Tumezungukwa na jamii ambayo ina mahitaji mengi sana, na mpaka sasa wamegusa watu wengi sana wenye mahitaji, na hili ni zoezi endelevu kwao kugusu wenye mahitaji.
Meridianbet wamesema kuwa hawataishia hapa siku nyingine itakuwa ni zamu ya watu wa eneo lingine, huku ukijua kuwa ligi zinaendea mwishoni ambapo leo kuna mechi kibao kubwa na zenye machaguo zaidi ya 1000 kupigwa. Tengeneza jamvi hapa.