MANCHESTER CITY YAREJEA KILELENI MWA MSIMAMO WA LIGI KUU ENGLAND

Manchester City imerejea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu England kufuatia ushindi mnono wa 4-0 dhidi ya vigogo wa London, Fulham katika dimba la Craven Cottage.

FT: Fulham 0-4 Man City
⚽ Gvardiol 13’
⚽ Foden 59’
⚽ Gvardiol 71’
⚽ Alvarez 90+7’

MSIMAMO ?3️⃣
? Man City — mechi 36 — pointi 85
? Arsenal— mechi 36 — pointi 83
? Liverpool — mechi 36 — pointi 78