PSG YATINGA NUSU FAINALI YA LIGI YA MABINGWA ULAYA, BARCELONA YATUPWA NJE

PSG imetinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kufuatia ushindi wa jumla wa 6-4 dhidi ya Barcelona katika dimba la Estadi Olímpic Lluís Companys (Barcelona) kwenye mchezo wa robo fainali.

FT: Barcelona ?? 1-4 ?? PSG (Agg. 4-6)
⚽ Raphinha 12’
? Araujo 29’
⚽ Dembele 40’
⚽⚽ Mbappé (P) 54’ 89’
⚽ Vitinha 61’

PSG itachuana na Dortmund kwenye nusu fainali.