Leo wakubwa wote wapo dimbani kusaka tiketi ya kwenda hatua ya Robo Fainali ya michuano ya EUROPA. Suka mkeka wako sasa na uweze kujiweka kwenye nafasi ya kuwa milionea leo hii.
SL Benfica kutoka Ureno baada ya kulazimishwa sare mechi iliyopita akiwa nyumbani, leo hii atakuwa ugenini kusaka ushindi dhidi ya Glasgow Rangers katika dimba la Ibrox huku nafasi ya kusonga mbele wakipewa wageni kwa ODDS 2.30 kwa 2.84. Je nani ni nani leo?. Tengeneza jamvi sasa.
Kule BayArena ambapo Bayer Leverkusen chini ya Xabi Alonso watakinyuka dhidi ya Qarabag FK anbao waliwalazimisha sare mechi iliyopita. Leverkusen wakiwa kileleni pale Bundesliga wanataka kombe hili sana na meridianbet wao wamempa nafasi kubwa ya ushindi leo kwa ODDS 1.16 kwa 14.7. Weka jamvi lako hapa.
Mechi nyingine yenye ODDS za kibabe ni hii hapa inayowakutanisha kati ya West Ham United dhidi ya SC Freiburg kutoka kule Ujerumani majira ya saa 2:45. David Moyes na vijana wake wanaingia kwenye mchezo huu huku malengo yakiwa ni kushinda tuu baada ya mechi iliyopita kupoteza. Mechi hii imepewa ODDS 1.71 kwa 4.60. Jisajili hapa.
Mechi ya kwanza kabisa itakuwa ni hii ya Slavia Prague dhidi ya AC Milan katika dimba la Fortuna Arena ambapo mechi ya kwanza walipokutan, Pioli na vijana wake waliondoka na ushindi mkubwa na jumla ya faida ya mabao mawili. Milan kushinda mechi hii amepewa ODDS 2.03 kwa 3.33. Je mwenyeji atalipa kisasi au kupindua meza?. Suka mkeka wako hapa.
Kumbuka kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.
Nao Nyambizi wa Njano, Villarreal dhidi ya Olympique Marseille ambao mechi ya kwanza walishinda kwa kishindo cha ajabu. Mwenyeji ambaye anakipiga katika ligi ya Hispania ana kibarua kizito sana kwani anadaiwa mabao manne. Meridianbet wamempa nafasi ya kushinda mwenyeji kwa ODDS 2.25 kwa 2.79. Wewe unampa nani nafasi ya kushinda?.
Pia Atalanta kutoka kule Italia itakipiga dhidi ya Sporting Lisbon ya Ureno. Mechi ya kwanza walipokutana walitoshana nguvu. Je leo hii aktaika dimba la Gewiss nani kuibuka kidedea?. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 ndani ya meridianbert. Bashiri na meridianbet.
Huku kwa upande wa Roberto De Zerbi, Brighton watapepetana dhidi ya AS Roma ambayo ina faidia ya mabao manne ambayo walioyapata kwenye mechi ya kwanza baada ya kushinda. Mwenyeji amepewa ODDS 1.71 kushinda mechi hii kwa 4.21. Je Roma atakubali kichapo leo? Au ataendeleza moto wake dhidi ya timu hii ya Uingereza? Beti kijanja hapa.
Kivumbi kingine kitakuwa kwenye mechi hii ya Liverpool dhidi ya Sparta Prague ambao mechi ya kwanza wakiwa kwao walichapika vibaya mno. Klopp na vijana wake watahitaji heshima ya kutopoteza mechi kwani wana faida kubwa. 1.27 kwa 8.62 ndio ODDS za mechi hii. Suka jamvi lako sasa.