LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea kwa sasa ambapo leo Desemba 17 kuna mechi ambazo zitachezwa.
Geita Gold itashuka Uwanja wa Nyankumbu kusaka pointi tatu mbele ya Ruvu Shooting.
Mbeya Kwanza itakuwa na kibarua Uwanja wa Sokoine dhidi ya Namungo FC.
Dodoma Jiji v Polisi Tanzania, Uwanja wa Jamhuri,Dodoma.