Huku michuano ya AFCON ikiendelea kushika hatamu meridianbet nao wameona waende sambamba na moto huo huo kwa kukuwekea ODDS KUBWA, Machaguo zaidi 1000, hivyo kazi yako ni kuweka dau na kubeti tuu.
Mechi za AFCON zinatarajiwa kuendelea leo hii mzunguko wa pili, Equatoria Guinea kumenyana na Guinea Bissau ambaye alipoteza mchezo uliopita. Na leo hii amepewa ODDS 3.23 kwa 2.50 kushinda mechi hii mbele ya Equatoria ambaye alishinda mchezo uliopita. Je leo hii nani ataondoka na ushindi?. Suka mkeka hapa.
Mechi nyingine ya kusisimua itakuwa kati ya Ivory Coast ambao ni waandaaji wa michuano hii dhidi ya Nigeria ambao hawakupata ushindi mechi ya kwanza. Ivory alipata ushindi mchezo uliopita na leo Meridianbet wamempa 2.12 kushinda mechi hii kwa 3.57. Macho yote yapo kwa mshambuliaji wa Napoli Victor Osimhen kama ataweza kuibeba mabegani timu yake. Nani unamuwekea pesa yako leo?.
Pia meridianbet inakukumbusha kuwa kuna uwezekano wa kupiga pesa haraka sana ukicheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile Aviator, Poker, Roullette, Rocketman, na Sloti na mingine mingi. Ingia meridianbet na ucheze sasa.
Mo Salah na Egypt yake itachuana vikali na Ghana kuwania pointi tatu ambazo timu zote hazijazipata kwenye mechi zao za kwanza. Salah na wenzake waliambulia sare huku Andre Ayew na wenzake walipoteza. Mechi hii imepewa ODDS 1.96 kwa Misri kushinda na 4.21 kwa Mghana kushinda. Wewe beti yako unaiweka wapi kati ya timu hizi mbili?.
Lakini tukiachana na AFCON mteja wa Meridianbet kumbuka kubashiri pia mechi za COPA DEL REY nchini Hispania ambazo zinaendelea hii leo kwa mechi mbili pekee katika hatua ya 16.
Mchezo wa kwanza utakuwa ni kati ya Unionistas de Salamanca FC dhidi ya FC Barcelona ambayo ndio wanapewa nafasi ya kushinda na meridianbet wakiwa na ODDS ya 1.13 kwa 16.66. Timu hiyo inashiriki ligi daraja la pili. Je inaweza kuwafunga Xavi na vijana wake leo. Jisajili na ubeti.
Wakati mechi ya kuvuja jasho itakuwa ni kati ya Atletico Madrid dhidi ya Real Madrid majira ya saa 5:00 usiku ambapo timu hizi zimekutana siku chache zilizopita kwenye michuano ya Super Cup ambapo Atletico alipoteza baada ya muda wa ziada. Ancelotti na vijana wake kushinda mechi hii wamepewa ODDS 2.32 huku Diego Simeone na vijana wake wamepewa 2.84. Je nani ataondoka na ushindi leo?. Tengeneza jamvi hapa.