SportsAZAM FC WAMESHUSHA KITASA CHA KAZI Saleh11 months ago11 months ago01 mins MATAJIRI wa Dar Azam FC wamefanya usajili wa kazikazi kwa kumtambulisha kitasa wa kazi ambaye ni beki mwenye uwezo wa kufunga pia.Hivyo mzunguko wa pili unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kwa timu zote shiriki ndani ya Ligi Kuu Bara. Post navigation Previous: TAIFA STARS IMEANZA KWA MWENDO HUU, KAZI BADO INAENDELEANext: KAZI KUBWA INAHITAJIKA KUFANYIKA KWA TANZANIA