Skip to content
YANGA ina kibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya Al Ahly kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Uwanja wa Mkapa.
Langoni anaanza Djigui Diarra kwenye siku ya leo ambayo inakwenda kwa jina la Bacca Day.
Yao
Joyce Lomalisa
Nondo
Dickson Job
Maxi Nzengeli
Aziz KI
Pacome