UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa mashindano ya kimataifa yanahitaji timu yenye maandalizi ya kweli na kama itakuwa ni porojo kufikia malengo itakuwa ngumu. Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Yanga, Ali Kamwe ameweka wazi kuwa walikuwa nje ya nchi na waliwaacha wengine ambao walikuwa na kazi ya kuwakilisha taifa kwenye mechi za kimataifa ikiwa ni dogo la kimtindo kwa watani zao wa jadi Simba
Tottenham Hotspur forward Dominic Solanke battles with Crystal Palace defender Maxence Lacroix during the English championship Premier League football match between Crystal Palace and Tottenham Hotspur on 27 October 2024 at Selhurst Park in London, England - Photo Ian Stephen / ProSportsImages / DPPI (Photo by IAN STEPHEN / ProSportsImages / DPPI via AFP)