SportsPICHA: TAIFA STARS YAONDOKA KWENDA MOROCCO KUKIWASHA NA NIGER MCHEZO WA KUFUZU KOMBE LA DUNIA Saleh1 year ago01 mins Timu ya Taifa “Taifa Stars” imeondoka kuelekea Morocco kwenye mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Niger utakaochezwa kwenye mji wa Marrakech Jumamosi Novemba 18, 2023. Post navigation Previous: KOCHA MBABE WA YANGA ATAJWA SIMBANext: MIKATABA YA WACHEZAJI IHESHIMIWE KUPISHANA NA KESI