VIDEO:WASIOMTAKA KOCHA SIMBA WAAMBIWA WASEPE

MCHAMBUZI wa masuala ya michezo Bongo Kisungu ameweka wazi kuwa waleambao wanahitaji kuona Kocha Mkuu wa Simba Roberto Oliveira akifungashiwa virago waondoke. Kumekuwa na presha kubwa kutoka kwa mashabiki ambao wamekuwa wakihitaji kuona kocha huyo anaondoka kwa kuwa timu inashinda huku wao wakiwa hawana furaha.