Skip to content
IKIWA ugenini Klabu ya Yanga imeendeleza ubabe ndani ya dakika 45 za mwanzo.
Ubao unasoma Marumo Gallants 0-1 Yanga mtupiaji ni Fiston Mayele.
Mayele kapachika bao hilo dakika ya 44 baada ya kuwazidi ujanja mabeki wa Gallants ambao walikuwa wanakwenda kufanya shambulizi.
Mlima mzito kwa Gallants kupindua meza wakiwa nyumbani wanadaiwa mabao matatu kuweka usawa na kusaka bao la ushindi.