LEO Novemba 30 Yanga itakuwa na kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Mbeya Kwanza mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Sokoine.
Kikosi kinachoanza kipo namna hii:-
Diarra Djigui
Shaban Djuma
David Bryason
Bakari Mwamnyeto
Dickson Job
Tonombe Mokoko
Mauya Zawad
Kaseke Deus
Mayele Fiston
Feisal Salum
Saido Ntibanzokiza