USHINDI UPO KWENYE MECHI HIZI HAPA LIGI YA MABINGWA

UEFA CHAMPIONS LEAGUE kurindima hii leo ambapo leo hii Manchester City atacheza dhidi ya RB Leipzig ambapo City anashikilia nafasi ya pili kwenye msimamo na Leipzig yupo nafasi ya tatu kule Bundesliga. Kila timu inahitaji ushindi kusonga mbele. ODDS KUBWA unazipata Meridianbet pekee ingia na ucheze ujiweke kwenye nafasi ya kukusanya mpunga mrefu kabisa utakaobadili ndoto zako.

Pep Guardiola na vijana wake watawaalika RB Leipzig ambao mechi ya kwanza walitoshana nguvu kwa kufungana bao 1-1 huku kila timu leo hii ikijipanga kuondoka na ushindi ili iweze kutinga robo fainali. Je nanai ana nafasi kubwa ya kuondoka na ushindi leo hii? Bashiri na Meridianbet sasa.

Mechi iliyopita ya ligi City wametoka kupata ushindi na kusalia kwenye nafasi yao ile ile ya pili kwenye msimamo, huku RB wao wakitoka kutoa dozi nzito wakiwa nyumbani kwao na hivyo kupanda hadi nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi.

Endelea kucheza Michezo ya kasino ya mtandaoni inayotolewa na Meridianbet ikiwemo Sloti, Poker, Aviator, Roulette na mingine mingi ambayo inaweza kukupatia pesa.

Pia timu kutoka Ureno FC Porto atamenyana dhidi ya Inter Milan ya Inzaghi huku timu hizi walipokutana mara ya kwanza Porto alishindwa kufurukuta ugenini, na leo hii yupo nyumbani. Je ataweza kulipa kisasi?

Nafasi kubwa ya ushindi amepewa Inter akiwa na ODDS ya 2.65, sare ikiwa na 3.19, na Porto akipewa 2.74. Wewe tiketi yako ya ushindi unaipeleka kwa nani? Ingia na ucheze na Meridianbet.

Kesho kuna mbungi nyingine itapigwa unajua ni nani na nani? Hawa hapa

Wakati hapo kesho Real Madrid kukichapa dhidi ya Liverpool ambapo Majogoo watakuwa Santiago Bernabeu kuhakikisha kuwa wanalinda walichonacho na kukiongeza ikiwezekana huku Liverpool wao wakitaka ushindi wa mabao mengi ili wawe na nafasi ya kuendelea hatua inayofuata.

Mechi ya kwanza Madrid walipata ushindi mkubwa baada ya kutokea nyuma kwa mabao mawili na kuichapa Liver kwa kuichapa mabao 5-2 wakiwa Anfield. Je hiyo nafasi ipo ya wao kushinda mabao yote hayo huku Madrid wakiwangalia tu? Beti mechi hii na Meridianbet sasa.

Nao vinara wa Serie A, Napoli watawaleta Eintracht Frankfurt nyumbani kwao huku mechi ya kwanza Spaletti aliondoka na pointi tatu na ushindi wa mbao 2-0, huku Timu hiyo ya Ujerumani wakipata adhabu ya kadi nyekundu.

Mlima ni mrefu kwa Frankfurt kuupanda kutokana na kiwango bora ambacho Napoli wamekuwa nacho msimu huu huku wakiwa wamepoteza mechi mbili pekee tu kwenye ligi. Malengo ya Napoli msimu huu ni kuchukua Scudetto pamoja na UEFA, kwenye ligi tayari kati ya 10 wana 9.

Meridianbet wanatoa michezo ya kasino ya mtandaoni sloti, Aviator, Roulette na mingineyo ambayo inaweza kukupatia ushindi wa pesa kibao na ni kwa dau dogo tu.